Injira
Farming Partnerships Initiatives

Farming Partnerships Initiatives

Karagwe, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Lengo la shirika letu ni kutoa mafunzo ya kilimo endevu na elimu juu ya maendeleo vijijini kwa wakulima waishio vijijini, kutoa mikopo midogomidogo kwa wakulima ili waweze kumudu shughuli zao za kilimo, kutoa vifaa kazi na kuunda vikundi vya wakulima ili waweze kuwa na sauti pamoja na kupata masoko ya bidhaa za kwa urahisi pamoja na kuhamasisha utalii wa kilimo.

Amakuru agezweho
Farming Partnerships Initiatives yashyizeho Amakuru agezweho.
22 Kanama, 2011
Farming Partnerships Initiatives yakoze Amateka paje.
Shirika la Farming Partnerships Initiatives lilianzishwa mwaka 2008, baada ya Rev.Heavenlight MLuoga kupata ushauri wa kufanya hivyo kutoka kwa wakulima wa kijiji cha Katwe, baada ya hapo Mchungaji Luoga alifanya mawasiliano na shirika la Operation Agri (OA) la nchini Uingereze,Mwezi wa nne 2009 wakulima watatu... Soma ibindi
22 Kanama, 2011
Farming Partnerships Initiatives yasanze Envaya.
22 Kanama, 2011
Ibyiciro
Aho uherereye
Karagwe, Kagera, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye