Fungua
Farming Partnerships Initiatives

Farming Partnerships Initiatives

Karagwe, Tanzania

Lengo la shirika letu ni kutoa mafunzo ya kilimo endevu na elimu juu ya maendeleo vijijini kwa wakulima waishio vijijini, kutoa mikopo midogomidogo kwa wakulima ili waweze kumudu shughuli zao za kilimo, kutoa vifaa kazi na kuunda vikundi vya wakulima ili waweze kuwa na sauti pamoja na kupata masoko ya bidhaa za kwa urahisi pamoja na kuhamasisha utalii wa kilimo.

Mabadiliko Mapya
Farming Partnerships Initiatives imeongeza Habari.
22 Agosti, 2011
Farming Partnerships Initiatives imeumba ukurasa wa Historia.
Shirika la Farming Partnerships Initiatives lilianzishwa mwaka 2008, baada ya Rev.Heavenlight MLuoga kupata ushauri wa kufanya hivyo kutoka kwa wakulima wa kijiji cha Katwe, baada ya hapo Mchungaji Luoga alifanya mawasiliano na shirika la Operation Agri (OA) la nchini Uingereze,Mwezi wa nne 2009 wakulima watatu... Soma zaidi
22 Agosti, 2011
Farming Partnerships Initiatives imejiunga na Envaya.
22 Agosti, 2011
Sekta
Sehemu
Karagwe, Kagera, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu