Log in
Farming Partnerships Initiatives

Farming Partnerships Initiatives

Karagwe, Tanzania

Shirika la Farming Partnerships Initiatives lilianzishwa mwaka 2008, baada ya Rev.Heavenlight MLuoga kupata ushauri wa kufanya hivyo kutoka kwa wakulima wa kijiji cha Katwe, baada ya hapo Mchungaji Luoga alifanya mawasiliano na shirika la Operation Agri (OA) la nchini Uingereze,Mwezi wa nne 2009 wakulima watatu walitembelea mradi wa kilimo Busia nchini Uganda chini ya ufadhili wa Operation Agri, Ralph na Jane Hanger kutoka Uingereza wawakilishi wa Operation Agri walikuja Karagwe mwezi wa nane 2009 na kutembelea wakulima na kukagua miradi iliyo kuw aikiendeshwa na FPI, baada ya hapo timu ya FPI pamoja na mtaalamu wa kilimo kutoka Busia Agric Project chini ya ufadhili wa Operation Agri Rev.Paul Kyalimpa alikuja Karagwe ili kuanda mpagngo mzima wa maradi, kunaznia Agust 2009 hadi sasa FPI imekuwa ikifadhiliwa na OA kwa kutoa fedha za mafunzo kwa wakulima wadogowadogo.