Log in
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro

Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro

Morogoro, Tanzania

KUSUDI:

FIE inakusudia kuioanisha elimu bora asilia na elimu bora ya sasa ili kuiwezesha jamii kuishi maisha bora yenye kuthamini heshima utu na haki kwa kufanya utafiti mafunzo na majadiliano na kuweka kumbukumbu na takwimu.

DIRA:

Ni muono wa FIE kuona jamii imeweza kutumia elimu bora asilia na elimu ya sasa  kwa ajili ya maendeleo yao.

 

 

Latest Updates
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro created a Team page.
1. Steven Ditenya Mwenyekiti – 2. Robern Fumito Katibu – 3. Mariana ... Read more
September 30, 2013
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro updated its Projects page.
Shirika hili lina mradi mmoja (1), mradi wa Ukusanyaji wa Fasihi simulizi. Kwa kuanzia tumeanza na makabila ya Waluguru katika Wilaya ya Matombo na Wakaguru katika Wilaya ya Mamboya. Pia tunakusudia kufanya ufatiti huu katika Wilaya ya Kilombero.
December 17, 2010
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro added a News update.
Ni kwa mara nyingine tena shirika la Elimu Asilia limeendelea na tafiti zake katika Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro kwa makabila ya Wandamba na Wambunga. – kikubwa kinachoangaliwa ni maadili katika makabila yote hayo tunayofanyia utafiti, – ili kuona je, hapo zamani mababu na bibi zetu waliishi vipi. ... Read more
November 1, 2010
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro updated its home page.
November 1, 2010
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro updated its home page.
September 24, 2010
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro updated its home page.
September 20, 2010
Sectors
Location
Morogoro, Tanzania
See nearby organizations