Fungua
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro

Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro

Morogoro, Tanzania

KUSUDI:

FIE inakusudia kuioanisha elimu bora asilia na elimu bora ya sasa ili kuiwezesha jamii kuishi maisha bora yenye kuthamini heshima utu na haki kwa kufanya utafiti mafunzo na majadiliano na kuweka kumbukumbu na takwimu.

DIRA:

Ni muono wa FIE kuona jamii imeweza kutumia elimu bora asilia na elimu ya sasa  kwa ajili ya maendeleo yao.

 

 

Mabadiliko Mapya
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro imeumba ukurasa wa Timu.
1. Steven Ditenya Mwenyekiti – 2. Robern Fumito Katibu – 3. Mariana ... Soma zaidi
30 Septemba, 2013
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro imehariri ukurasa wa Miradi.
Shirika hili lina mradi mmoja (1), mradi wa Ukusanyaji wa Fasihi simulizi. Kwa kuanzia tumeanza na makabila ya Waluguru katika Wilaya ya Matombo na Wakaguru katika Wilaya ya Mamboya. Pia tunakusudia kufanya ufatiti huu katika Wilaya ya Kilombero.
17 Desemba, 2010
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro imeongeza Habari.
Ni kwa mara nyingine tena shirika la Elimu Asilia limeendelea na tafiti zake katika Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro kwa makabila ya Wandamba na Wambunga. – kikubwa kinachoangaliwa ni maadili katika makabila yote hayo tunayofanyia utafiti, – ili kuona je, hapo zamani mababu na bibi zetu waliishi vipi. ... Soma zaidi
1 Novemba, 2010
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro imehariri ukurasa mkuu.
1 Novemba, 2010
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro imehariri ukurasa mkuu.
24 Septemba, 2010
Foundation for Indigenous Eduation (FIE) Morogoro imehariri ukurasa mkuu.
20 Septemba, 2010
Sekta
Sehemu