Kushuhulikia vijana waliopo kwenye mazuingira magumu, kuelimisha vijana kuhusu madawa ya kulevya mimba za umri mdogo, athari za UUV/UKIMWI
Mabadiliko Mapya
ZANZIBAR ANTIPOVERTY ORGANIZATION imeongeza Habari.
Jumuiya ya Zanzibar Ant Poverty Organization imeelimisha vijana wa kijiji cha SOS mwaka 2009
Jumuiya ilisaidia vijana waliofaulu kidato cha tatu ambao ni yatima katika skuli ya kwamtipura mwaka 2010
Jumuiya ilielimisha vijana kuhusu athari za mimba za umri mdogo katika ukumbi wa elimu mbadala tarehe... Soma zaidi
27 Mei, 2011
ZANZIBAR ANTIPOVERTY ORGANIZATION imejiunga na Envaya.
27 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
Mwembemakumbi, Unguja Mjini Magharibi, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu