Mkufunzi wa katika mradi wa kujengea uwezo wanachama wa YES ndugu Martin Mbelwa akiwaeleza wanachama wa YES jinsi ya kuandaa na kukitumia kitabu cha mahesabu (Cash book analysis). mafunzo haya yalifanyika kwa ufadhiri wa The Foundation for Civil Society (FCS) mapema mwaka 2011.
August 20, 2011
Comments (1)