Envaya
/yes/post/51241
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
nilipata taarifa za mwongozo kuhusiana na maandalizi hyo kutoka kwa ndugu yangu ambaye alikuwa mshiriki katika mafunzo hyo! nimevutiwa sana ..! hongereni
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – Mkufunzi akiwaeleza wanachama wa YES jinsi ya kuandaa kitabu cha mahesabu (Cash book analysis). mafunzo haya yalifanyika kwa ufadhiri wa The Foundation for Civil Society (FCS) mapema mwaka 2011.
(Bila tafsiri)
Hariri