Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Kusherekea hadi mwisho

Micho mbalimbali yaendelea

Siku ya Mtoto wa dunia yafana sana hapa Moshi

large.jpg

Watoto wakifurahia michezo mbalimbali katika siku ya mtoto wa dunia

large.jpg

Joseph is among participant participation at the world children day event in Moshi

Leo ni siku ya watoto duniani. Siku hii iliadhimishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1954 na umoja wa mataifa. Kwa hapa Moshi asasi inayoitwa Childreach internation imeadhimisha siku hii na kuwaalika washiriki na marafiki wa watoto kwa ajili ya kuamasisha jamii umuhimu wa siku hii pamoja na kudai na kutetea na kulinda haki za watoto.

large.jpg

WOY imeshiriki siku ya watoto duniani. Hapa ndo wanaanza maandamano