Kesho tutafanya mkutano wa wananchi juu ya Utawala bora wa sheria haki na usawa katika jamii. Ambao tutafanyia Mbezi Mshikamano karibu na ofisi zetu. Wote Mnakaribishwa
22 Aprili, 2010
![]() | Women Against Poverty and HIV/AIDSMbezi Mshikamano, Tanzania |