Log in
Women Against Poverty and HIV/AIDS

Women Against Poverty and HIV/AIDS

Mbezi Mshikamano, Tanzania

Kuwezesha wanawake na wadau wa makudi mengine ya jamii kujua haki zao juu ya ukimwi hasa kujikinga na kuwawezesha kujua mbinu mbali mbali za kupambana na kupunguza umasikini.

Kuhamasisha na kutoa msaada mbali mbali katika jamii.

Kujihusisha na kampeni ya utawala bora kwa kujenga uelewa kwa wananchi ili kujenga jamii inayo wajibika.
Latest Updates
Women Against Poverty and HIV/AIDS created a History page.
introduction – Women against Poverty and HIV/AIDS is non govermental organization estableshed in 2005 under act no 24of 2002 under ministry of community development gender and children. And come into force on 22nd january 2008. Its heaquarters is found in mbezi, kinondoni district in dar salaam. – The... Read more
June 8, 2011
Women Against Poverty and HIV/AIDS updated its Projects page.
WAPA inashuhulika na kutengeneza kuuza na kuhamasisha kuhusu bidhaa za Mnonge.
July 13, 2010
Women Against Poverty and HIV/AIDS added a News update.
wapa kesho tutakua kwenye mkutano unaohusu wanawake wajane wanoishi na VVU kujadili changamoto zinazowakabili kama wajane wenye VVU
June 13, 2010
Women Against Poverty and HIV/AIDS added a News update.
wapa tunaungana na mitandao yoteya watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI pamoja na baraza la watu wanaoishi na virusi vya ukimwi Tanzania kwa kuadhimisha siku ya kuwasha mishumaa kuwakumbuka wanaharakati walioishi na virusi vya ukimwi na kufariki kwa ukimwi, tarehe 30/05/2010 katika uwanja wa mashujaa mnazi mmoja dar es salaam. wao walijitoa muhanga... Read more
May 28, 2010
Women Against Poverty and HIV/AIDS added a News update.
Tathimini ya utawala bora imefanyika jana katika ofisi zetu za wapa hapa mbezi walioshiriki ni pamoja na afisa maendeleo ya jamii kata ya mbezi mjumbe kutoka serikali za mitaa mtaa wa mshikamano pamoja na wajumbe wa wapa.
May 26, 2010
Women Against Poverty and HIV/AIDS added a News update.
Wapa baada ya kufanya mafunzo ya utawala bora kwa viongozi wa kata ya mbezi na wananchi wa kata hii ya mbezi , keshotarehe 25/05/2010, tutafanya tathimin ya mafunzo ya utawala bora katika ofisi za wapa zilizoko kata ya mbezi wanaohusika na tathimin hii wameshapewa taarifa, karibuni sana..
May 24, 2010
Sectors
Location
Mbezi Mshikamano, Dar es Salaam, Tanzania
See nearby organizations