Kesho tutafanya mkutano wa wananchi juu ya Utawala bora wa sheria haki na usawa katika jamii. Ambao tutafanyia Mbezi Mshikamano karibu na ofisi zetu. Wote Mnakaribishwa
22 Aprili, 2010
Women Against Poverty and HIV/AIDSMbezi Mshikamano, Tanzania |