Waandishi wa habari wakiendelea na kazi ya uandishi wa habari za semina
Ibitekerezo (0)
Mwenyekiti wa WAENDELEE Bwana Ally Shamte akitoa maelekezo kwa wanasemina
Mjumbe wa WAENDELEE Mhandisi Haruna Sumwa akitoa maelekezo kwa wanasemina
washiriki wa semina wakiwa wanasikiliza na kuandika yale wanaofundishwa
Washiriki na wawezeshaji wa semina ya kupanda na ufugaji bora wa nyuki 2015
Washiriki wa semina ya kupanda miti na ufugaji bora wa nyuki iliyofanyika Mjini Singida 2015