Envaya

Kuwahamasisha wananchi wa Halmashauri ya Singida kutumia Karama zao kujiletea maendeleo, kuwa chachu ya mabadiliko na maendeleo Kiuchumi, Kisiasa, Afya, Kijamii na Utamaduni.

Mabadiliko Mapya
WIRWANA ASSOCIATION FOR EMPOWERMENT AND DEVELOPMENTS (WAENDELEE) imeumba ukurasa wa Timu.
17 Machi, 2016
WIRWANA ASSOCIATION FOR EMPOWERMENT AND DEVELOPMENTS (WAENDELEE) imeumba ukurasa wa Miradi.
Mradi wa Uoteshaji na Upandaji miti – Uharibifu wa mazingira ni uzoreteshaji wa mazingira kwa njia ya kupungua kwa rasilimali kama vile hewa, maji na udongo; uharibifu wa ikolojia na kupotea kwa wanyamapori. Kama inavyoonyeshwa na formula hii I=PAT , athari za mazingira (environmental... Soma zaidi
17 Machi, 2016
WIRWANA ASSOCIATION FOR EMPOWERMENT AND DEVELOPMENTS (WAENDELEE) imeongeza Habari 6.
Waandishi wa habari wakiendelea na kazi ya uandishi wa habari za semina
17 Machi, 2016
WIRWANA ASSOCIATION FOR EMPOWERMENT AND DEVELOPMENTS (WAENDELEE) imeumba ukurasa wa Historia.
Chimbuko la WAENDELEE ni fikra, tafakuri na mawazo ya muda mrefu yaliyotokana na majadiliano na mazungumzo kuhusu hali halisi ya maendeleo duni na maisha ya Wirwana na Wairwana. Changamoto zilizopo katika jamii yetu... Soma zaidi
17 Machi, 2016
WIRWANA ASSOCIATION FOR EMPOWERMENT AND DEVELOPMENTS (WAENDELEE) imejiunga na Envaya.
17 Machi, 2016
Sekta
Sehemu
SINGIDA VIJIJINI, Singida, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu