Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

UWANE ilianzishwa mwaka 2oo1 kwa kuanza na wanachama 25.  Hivi sasa Umoja una wanachanma wapatao 62 walio hai. Umoja una uongozi uliokamilika ukiwa na Mwenyekiti Makamu mwenyekiti, Katibu Mtendaji,KATIBU Msaidizi, Mweka Hazina na wajumbe l5 wanaounda Kamati ya Utendaji ambao hukutana mara moja kila mwezi.  Vile vile kuna mkutano mkuu wa wanachama wote kila mwaka mwezi Desemba.  Asasi hii ilisajiliwa mwaka 2oo2 mwezi Desemba tarehe l6 ns kupewa Hati ya Usajili nambari ll688.  Uanachanma wa Asasi hii ni wa hiyari kwa wastaafu na wazeewote wa kike na wa kiume ambao wana umri zaidi ya miaka 60 na kuendelea.Kwa miaka ya 2008 hadi 2009 Asasi imeendesha mafunzo mbali mbali ya Utawala Bora na jinsi ya kujikinga na maambukizi ya V.V.U. KWA VIJANA NA AKINA MAMA.  kARIBUNI katika ASASI HII.

18 Gicurasi, 2011
Ahakurikira »

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.