Log in
UMOJA WA WASTAAFU NEWALA

UMOJA WA WASTAAFU NEWALA

NEWALA, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kuunganisha fikra za wastaafu pamoja ili kusaidia Taifa letu kwa ushauri na pia wapate nafasi ya kutoa huduma kwa jamii kutokana  naujuzi nz uzoefu wao.  Kuwa chombo cha kutetea wastaafu na wazee. kuwa sauti ya wastaafu na wazee katika kudai haki zao za msingi na kuzifuatilia hasa huduma za matibabu na utetezi wa watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi.

Latest Updates
UMOJA WA WASTAAFU NEWALA added a News update.
Uwane inakaribisha wafadhili mbali mbali wa nje na ndani kusaidia Asasi hii kwa kuipa ufadhili ili iweze kutoa huduma kwa walengwa hasa wastaafu na wazee wa Wilaya ya Newala katika kuboresha afya zao na maisha kwa ujumla. Karibuni sana
June 6, 2011
UMOJA WA WASTAAFU NEWALA added 2 News updates.
Asasi ya uwane Newala inakualika kwenye mkutano mkuu wake mwezi August, 2011 kuanzia saa3.00 asubuhi. Tafadhali thibitisha kuhudhuria kwako. Toka Katibu Mtendaji.
May 18, 2011
UMOJA WA WASTAAFU NEWALA joined Envaya.
May 18, 2011
Sectors
Location
NEWALA, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations