Log in
Upendo Group

Upendo Group

Area A kata ya chamwino, Tanzania

Kufuga kuku na kutengeneza unga wa lishe ili kuwawezesha wanawake wanaoishi na VVU, na kuhamasisha kuhusu lishe bora kwao.
Latest Updates
Upendo Group updated its Team page.
Zainabu Hassani – Katibu
July 23, 2010
Upendo Group added a News update.
Lengo kuu ni kufuga kuku na kutengeneza unga wa lishe kwa ajili ya kujipatia kipato na kuboresha afya zetu kwa wanawake wanaoishi na virusi vya ukimwi.
June 5, 2010
Upendo Group joined Envaya.
June 5, 2010
Sectors
Location
Area A kata ya chamwino, Tanzania
See nearby organizations