UNA TANZANIA TUNA SISITIZA WAZAZI NA WALEZI KUWA MAKINI KATI MALEZI YA WATOTO WETU HUSUSANI KIPINDI HIKI CHA ELIMU BURE KWANI TUNAJIZOESHA KUTOKAA NA WATOTO WETU KUJUWA MAENDELEO YAO YA KIMWILI,KIELIMU NA KIJAMII KWA UJUMLA
1) KUJUA MUELEKEO WA MTOTO KIMAUMBILE YAANI MAKUZI KWANI TUMEGUNDUA MENGI KUTOKA KWA WATOTO WETU MASHULENI HUSUSANI WAZAZI KUTOJUWA HATA SIKU MWANAYE ANAPO BALEHE NA KUFUNJA UNGO UKIZINGATIA WATOTO WA KIKE HUFUNJA UNGO WAFIKAPO UMRI WA MIAKA 8-9 NA KUENDELEA
2) WAZAZI KUWA MAKINI KUFUATILIA WATOTO WETU JUU YA MAENDELEO KIMASOMO NA SI KUWAACHIA WALIMU KUTOKANA NASI KUWA BIZE KWA KUTAFUTA YA DUNIA MFANO MAJUMBA YA KIFAHARI,MAGARI NK UKIZINGATIA MWALIMU YUKO NA WATOTO ZAIDI YA 100
3) TUWE MAKINI NA WATOTO WETU WAENDAPO SHULENI KUTOKANA NA KUCHANGIA VITU VYENYE NCHA KALI MFANO WEMBE NK SASA HII NI TATIZO NIKUTOKANA NA WATOTO WENGINE HUZALIWA NA MAAMBUKIZI HIVYO HUWA HAWANA ELIMU YA KUTOSHA