Envaya

Kutoa taaluma ya afya ya jamii na mazingira, kwa kuelimisha wana jamii wa Zanzibar kuhusu maambukizo mapya ya HIV/aids na adhari zake kijamii na kitaifa.

Pia kuelimisha jamii kuhusu mazingira hasa usafi wa mitaani.

Mabadiliko Mapya
UMOJA WA MAASKARI WASTAHAFU-KAMATI YA AFYA NA MAZINGIRA imejiunga na Envaya.
26 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
Jangwani, Unguja Mjini Magharibi, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu