Shime wana harakati, tuelimishe jamii. Jamii yetu ya kitanzania bado inahitaji kuelimishwa hasa katika maeneo ya usawa wa jinsia katika elimu, afya uongozi na umiliki wa rasilimali ili tuweze kutimiza dhana ya ukombozi wa wanawake kimapinduzi.
![]() | Tumaini Women Development AssociationKemondo ward in Bukoba, Tanzania |