Log in
Tumaini Women Development Association

Tumaini Women Development Association

Kemondo ward in Bukoba, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Shime wana harakati, tuelimishe jamii. Jamii yetu ya kitanzania bado inahitaji kuelimishwa hasa katika maeneo ya usawa wa jinsia katika elimu, afya uongozi na umiliki wa rasilimali ili tuweze kutimiza dhana ya ukombozi wa wanawake kimapinduzi.