Log in
Tupendane Group -- Dodoma

Tupendane Group -- Dodoma

dodoma, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kujijengea uwezo wa kimaisha ili kuepukana na kuwa tengemezi Katika kujipatia lishe bora kwaajili ya kutunza afya zetu kutokana na kuathirika na ukimwi.

Latest Updates
Tupendane Group -- Dodoma added a News update.
25/06/2010 – MATATIZO YA KIKUNDI – Wanachama tulitukutana kujadili tatizo la UKOSEFU WA OFISI YA KIKUNDI. – Kwani mpaka sasa shughuli zote za kikundi zinafanyika SEBULENI kwa Mwenyekiti hivyo kupunguza ufanisi wa... Read more
July 26, 2010
Tupendane Group -- Dodoma added a News update.
10/06/2010 – Wanakikundi wa TUPENDANE walimtembelea bwana KIKA MJATA mzalishaji wa mafuta ya Ubuyu.Tuliweza kuona hatua kwa hatua za uzalishaji wa mafuta hayo,ambayo yamethibitika kuongeza idadi ta CD4 kwa haraka sana na kupunguza idadi ya VVU mwilini.
July 26, 2010
Tupendane Group -- Dodoma added a News update.
05/06/2010 – Wanachama walikutana kuangalia uwezekanowa kuanzisha mradi wa pamoja ili waweze kujikimu na ugumu wa maisha. – Kwani mpaka sasa tuna miradi ya mtu mmoja mmoja inayotuwezesha kujikimu na ugumu wa maisha.Kuna wanakikundi wanaofanya shughuli mbalimbali kama – 1:Ushonaji – 2:Mama... Read more
July 26, 2010
Tupendane Group -- Dodoma updated its Team page.
Dora Mwaluko – Mwenyekiti – Susan Segu – Katibu – Nasoro Ramadhani – Muweka Hazina – Mrs B Adam – Mlezi ... Read more
July 23, 2010
Tupendane Group -- Dodoma updated its Projects page.
Kwa sasa tunajihusisha na kushona, kupika vitumbua na kuuza nguo za mitumba. Hivi ndivyo tunajikimu kwa sasa.
July 13, 2010
Tupendane Group -- Dodoma updated its History page.
Kikundi hiki kimeundwa na wanawake walio athirika na Virusi vya ukimwi. Baada ya kugundua hali zetu mbaya za kiafya mwaka 2006 ndipo tulipo amua kuanzisha kikundi hiki. Mwezi February tarehe 9 mwaka jana ndipo tulipo pata usajili wa kuwa NGO rasmi. – Kwakuwa kikundi chetu kilikuwa ni kichanga, hatukujua namna sahihi ya kupata ruzuku.... Read more
July 13, 2010
Sectors
Location
dodoma, Dodoma, Tanzania
See nearby organizations