Injira
Tanzania Society for the Deaf

Tanzania Society for the Deaf

Dar es Salaam, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Tanzania Society for the Deaf ilianzishwa na kusajiriwa 1971 na muasisi wake ni Sir Andy Chande.Mlezi wa kwanza wa chama hiki alikua hayati Mwalimu Julius Nyerere,raisi wa kwanza wa Tanzania.Chama kimejenga shule ya Viziwi Buguruni kwa kushirikiana na wadau wa ndani na nje ya nchi chini ya muongozo wa Sir Andy Chande.

Chama kimepata mafanikio mengi ikiwemo kufunisha lugha ya alama kwa viziwi,wakalimani,kujenga shule,visitors lodge,shamba la mlamleni nk