Asili (Kiingereza) | Kiswahili |
---|---|
Andulile Raphael Chairperson. Senior Statistician who has served in different roles in public service in Ministry Departments, Independent state Departments and Agencies. He is a talented motivational public speaker and organiser. Adam Gwankaja General Secretary. He is a trained teacher and development activist. He has served in various roles from school teacher, head of school, community mobiliser to policy analyst and programme management in leading national and international non governmental Organizations. He is also a researcher, writer, and committed reader of literary works. Rehema Robert Deputy Secretary/Treasurer. Rehema holds Bachelor degree in Social Work; and a Commonwealth Diploma in Youth Empowerment both from the Open University of Tanzania. She has over 10 years of experience in project cycle management in both Local and International NGOs such as Care International and Oxfam GB implementing youth and women projects. She trained on financial stewardships for not for profit organizations. Edson Mwaibanje Programmes Coordinator Edson is experienced community mobiliser and leader. He has served in different political positions before he joined the development sector where he served as a leader and manager of district and regional NGOs' Networks in Mbeya region. Eneless Francis Assistant Programme Coordinator Eneless holds postgraduate diploma in Education preceded by a bachelor’s degree in Gender and Development. She is passionate about women and youth empowerment. |
Andulile Raphael Mwenyekiti.Wasifu wake: Ni Mtakwimu Mwandamizi ambaye ametumikia katika nyadhifa mbalimbali za utumishi wa umma kwenye Wizara, Idara na wakala wa serikali. Ni mhamasishaji stadi. Adam Gwankaja Katibu Mkuu.Ni mwalimu na mwanaharakati wa maendeleo ya binadamu. Ametumikia katika nafasi mbalimbali akiwa mwalimu, mkuu wa shule, hadi kufikia kuwa mchambuzi wa sera na mtumishi mwandamizi kwenye mashirika ya kitaifa na ya kimataifa. Ni mwandishi habari, mtafiti, mhariri na mhakiki wa kazi za fasihi. Adam Exavery Mweka Hazina.Ni mhitimu na mtumishi mzoefu katika masuala ya uhasibu. Ametumikia na amejipatia uzoefu katika kusimamia fedha za miradi toka kwa wafadhili kwenye mashirika ya kitaifa na kimataifa. Edson Mwaibanje Mratibu wa ProgramuNi kiongozi na mhamasishaji jamii mzoefu. Kabla ya kujiunga katika sekta ya maendeleo, Mwaibanje ametumikia katika nafasi mbali mbali za kisiasa (chama na serikali). Kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali, ametumikia katika nafasi mbali mbali za uongozi ikiwemo kuwa mwenyekiti wa mtandao wa asasi zisizo za kiserikali mkoani Mbeya (MBENGONET)
|
Historia ya tafsiri
|