WIPRxWub09P7b2wxtElzGPZt:content | Andulile Raphael – Chairperson. – Senior Statistician who has served in different roles in public service in Ministry Departments, Independent state Departments and Agencies. He is a talented motivational public speaker and organiser. – Adam Gwankaja – General Secretary. – He is a trained teacher and development activist. He has served in various roles from school... | Andulile Raphael – Mwenyekiti. – Wasifu wake: Ni Mtakwimu Mwandamizi ambaye ametumikia katika nyadhifa mbalimbali za utumishi wa umma kwenye Wizara, Idara na wakala wa serikali. Ni mhamasishaji stadi. – Adam Gwankaja – Katibu Mkuu. – Ni mwalimu na mwanaharakati wa maendeleo ya binadamu. Ametumikia katika nafasi mbalimbali akiwa mwalimu, mkuu wa shule, hadi kufikia kuwa... | MpalanoCDO | 24 Werurwe, 2013 |