Base (Icyongereza) | Kiswahili |
---|---|
Trust for Conservation Innovation
Google Inc.
Twaweza
Digital Opportunity Trust
Tanzania Commission for Science and Technology
The Foundation for Civil Society
Envaya is collaborating with FCS to develop technology to support Tanzanian civil society. The Foundation provides extensive knowledge of Tanzanian civil society to help inform Envaya’s development of useful technology, and offers its operational capacity in Tanzania to help deploy and assess this technology on the ground. FCS includes Envaya’s technology in capacity-building workshops for Tanzanian CSOs, introducing organizations to Envaya’s platform, enabling them to create their own websites and better communicate on the Internet. The Giencke Family TrustThe Giencke Family Trust is committed to making a difference in peoples' lives as directly as possible. The Trust supports such organizations as the Jimmy Fund for its cancer research, MinutemanSenior.org for their work providing vital services to the elderly and the disabled, and Envaya for our support of grassroots civil society organizations in developing countries. Peace Corps TanzaniaPeace Corps Tanzania enthusiastically supports Envaya and includes Envaya workshops in volunteer and community counterpart training periods. With volunteers across all of Tanzania working in the education, health, and environment sectors, Peace Corps Tanzania will help Envaya continue to scale and improve. |
Trust for Conservation Innovation
Google Inc
Twaweza
Digital Opportunity Trust
Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia
Foundation for Civil Society
Envaya inashirikiana na FCS katika kuendeleza teknolojia ili kuzisaidia asasi za kiraia nchini Tanzania. Foundation hutoa ujuzi wa kina kwa asasi za kiraiaTanzania katika kusaidia taarifa ya maendeleo ya Envaya ya teknolojia muhimu, na inatoa uwezo wake wa kiutendaji katika Tanzania.Pia inasaidia kupeleka na kutathmini teknolojia hii sehemu husika. FCS inajumuisha teknolojia ya Envaya katika kujenga uwezo kwa asasi za kiraia Tanzania, kutambulisha mashirika kwa Envaya, kuziwezesha asasi kujenga tovuti zao wenyewe na mawasiliano bora kwenye mtandao. Family Giencke TrustTrust Giencke Family ina nia katika kufanya mabadiliko katika maisha ya watu moja kwa moja kama iwezekanavyo. Trust inasaidia mashirika kama vile Mfuko wa Jimmy kwa utafiti wake wa kansa, MinutemanSenior.org kwa ajili ya kazi yao ya kutoa huduma muhimu kwa wazee na walemavu, vilevile inatoa msaada kwa Envaya katika kusaidia mashirika ya kiraia katika nchi zinazoendelea. Peace Corps TanzaniaPeace Corps Tanzania inaisaidia Envaya katika shughuri zake za kujitolea na katika vipindi vya kutoa mafunzo kwa jami. Pamoja na wanaojitolea kote Tanzania katika elimu, afya, na sekta ya mazingira, Peace Corps Tanzania itasaidia Envaya kuendelea na kuboresha shughuri zake. |
Ibyasobanuwe
|