Envaya

Ubusobanuro: Kiswahili (sw): User Content: WI00073AC7900C9000028275:content

Base (Icyongereza) Kiswahili

Envaya makes it easy to find other civil society organizations that are relevant to your organization.

By visiting the websites of other organizations on Envaya, can see their latest news, communicate, and engage in discussions together. If an organization hundreds of kilometers away has a successful project and writes about it on Envaya, you can get ideas for your own organization.

To browse all of the organizations on Envaya by name or location, click Explore at the top of the page.

This page shows a map of all organizations using Envaya. To change which type of organizations are displayed, click All sectors, and choose a type of organization from the menu. To zoom in on a particular location, double-click.

Click any red dot to see the organizations at that location on the map, then click the name of an organization to view its home page. 

To see a list of the organizations on Envaya in alphabetical order, click List:

If you are looking for a particular organization, or if you are looking for organizations in a particular town, click Search:

On the Search page, type an organization's name or location, then click the blue Search button to see the search results:

To see the latest news from other organizations on Envaya, click Updates:

The Latest Updates page shows the most recent changes that organizations have posted to their websites. Click any item to go to that organization's website and read more.

Envaya inarahisisha utafutaji wa asasi nyingine ambayo inaweza kuwa na umuhimu kwa asasi yako.

Kwa kutembelea tovuti ya mashirika mengine ya Envaya, unaweza kuona habari zao za karibuni, kuwasiliana nao, na kushiriki katika majadiliano ya pamoja. Kama kuna shirika lipo mbali sana lakini limetoa habari kuhusu mradi uliofanikiwa kwenye akaunti yao ya Envaya, wewe pia unaweza kupata mawazo mapya yanayoweza kusaidia shirika lako.

Ili kuona mashirika yote kwenye Envaya kwa jina au mahali, ponyeza Peleleza juu ya ukurasa.

Ukarasa huu unaonyesha ramani ya mashirika yote yanayotumia Envaya. Kubadilisha aina ya mashirika unayotaka kuyaona ponyeza,sekta zote, na chagua aina ya shirika kutoka katika orodha. Ili kuvuta ramani ili kuanglia sehemu au mji fulani vizuri ponyeza mara mbili. 

Ponyeza doti nyekundi ili kuona mashirika kwenye sehemu zilizopo kwenye ramani, kisha bonyeza jina la shirika kuona ukurasa mkuu.

Ili kuona orodha ya mashirika ya Envaya katika mpango wa herufi, bonyeza Orodha:

Kama unatafuta shirika fulani, au kama unatafuta mashirika katika mji fulani, bonyeza Tafuta:

Katika ukurasa huu, andika ya jina la shirika, au mahali, kisha bonyeza Tafuta kuona matokeo:

Ili Kuona habari mpya za karibuni kutoka mashirika mengine ya Envaya, ponyeza Mabadiliko:

Ukurasa wa Mabadiliko unaonyesha mabadiliko ya karibuni ambayo mashirika wamefanya kwenye tovuti zao. bonyeza habari yoyote ili kusoma zaidi kwenye tovuti la shirika hilo.


Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe

Ibyasobanuwe

ramadhan
5 Mata, 2012
Envaya inarahisisha utafutaji wa asasi nyingine ambayo inaweza kuwa na umuhimu kwa asasi yako. – Kwa kutembelea tovuti ya mashirika mengine ya Envaya, unaweza kuona habari zao za karibuni, kuwasiliana nao, na kushiriki katika majadiliano ya pamoja. Kama kuna shirika lipo mbali sana lakini limetoa habari kuhusu mradi uliofanikiwa kwenye akaunti yao ya Envaya, wewe pia unaweza kupata mawazo mapya yanayoweza kusaidia shirika lako. – Ili kuona mashirika yote kwenye Envaya...
envayateam
2 Mata, 2012
Envaya inrahisisha utafutaji wa asasi nyingine ambayo yanaweza kuwa na umuhimu kwa asasi yako. – Kwa kutembelea tovuti ya mashirika mengine ya Envaya, unaweza kuona habari zao za karibuni, kuwasiliana nao, na kushiriki katika majadiliano ya pamoja. Kama kuna shirika lipo mbali sana lakini imetoa habari kuhusu mradi uliofanikiwa kwenye akaunti yao ya Envaya, wewe pia unaweza kupata mawazo mapya yanayoweza kusaidia shirika lako. – Ili kuona mashirika yote kwenye Envaya...
Google Translate
19 Nyakanga, 2011
Envaya kuwa rahisi kupata mashirika mengine ya kiraia ambayo ni muhimu kwa asasi yako. – Kwa kutembelea tovuti ya mashirika mengine ya Envaya, unaweza kuona habari zao za karibuni, kuwasiliana, na kushiriki katika majadiliano ya pamoja. Kama shirika mamia ya kilomita mbali ina mradi wa mafanikio na anaandika juu ya Envaya, unaweza kupata mawazo ya shirika lako mwenyewe. – Kuvinjari wote wa mashirika ya Envaya kwa jina au mahali, click Explore...
Ubu busobanuro bwakuwe mu nyandiko ya kera