Fungua

Tafsiri: Kiswahili (sw): Maandiko ya Watumiaji: WI000AC72AB03F3000028274:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiingereza) Kiswahili

Envaya makes it easy to communicate with other organizations that are also using Envaya.

When you are logged in to Envaya, just visit another organization's website, and click the link at the top to Send a Message.

Then, type your message and click Send Message to send your message to the organization via email.

Finding Contact Information for Other Organizations

If an organization has published their email address or phone number on their website, you can easily find their contact information and contact them directly. 

When viewing an organization's website on Envaya, just click Contact in their website's menu:

Envaya inakuwezesha kuwasiliana na mashirika mengine ambayo wana akaunti ya Envaya.

Wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Envaya, kutembelea tovuti ya shirika lingine,bonyeza kiungo juu cha kutuma ujumbe.

Kisha, andika ujumbe wako na bonyeza Tuma Ujumbe kutuma ujumbe wako kwa shirika kupitia barua pepe.

Kupata Mawasiliano ya mashirika mengine

Kama shirika limechapisha anwani za barua pepe au namba ya simu kwenye tovuti yao, unaweza kupata mawasiliano yao kwa urahisi na kuwasiliana nao moja kwa moja.

Wakati unaangalia tovuti ya shirika lolote kwenye Envaya, bonyeza Mawasiliano katika orodha ya tovuti yao:


Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe

Historia ya tafsiri

ramadhan
5 Aprili, 2012
Envaya inakuwezesha kuwasiliana na mashirika mengine ambayo wana akaunti ya Envaya. – Wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Envaya, kutembelea tovuti ya shirika lingine,bonyeza kiungo juu cha kutuma ujumbe. – (image) – Kisha, andika ujumbe wako na bonyeza Tuma Ujumbe kutuma ujumbe wako kwa shirika kupitia barua pepe. – (image) ...
envayateam
2 Aprili, 2012
Envaya inakuwezesha kuwasiliana na mashirika mengine ambao wana akaunti ya Envaya. – Wakati umeingia kwenye akaunti yako ya Envaya, kutembelea tovuti ya shirika lingine, na bonyeza kiungo juu cha kutuma ujumbe. – (image) – Kisha, andika ujumbe wako na bonyeza Tuma Ujumbe kutuma ujumbe wako kwa shirika kupitia barua pepe. – (image) ...
Google Translate
19 Julai, 2011
Envaya kuwa rahisi ya kuwasiliana na mashirika mengine ambayo pia kutumia Envaya. – Wakati umeingia ili Envaya, tu kutembelea tovuti ya shirika lingine, na bonyeza kiungo juu ya kutuma ujumbe. – (image) – Kisha, aina ya ujumbe wako na bonyeza Send Message kutuma ujumbe wako kwa shirika kupitia barua pepe. – (image) ...
This translation refers to an older version of the source text.