Envaya

Ubusobanuro: Kiswahili (sw): User Content: WI0004FDCD2F2F1000000462:content

Base (Icyongereza) Kiswahili

Envaya develops and deploys software that empowers and connects civil society organizations around the world.


We build online and mobile tools that allow grassroots organizations to easily create their own websites, and provide larger NGOs better tools to support and communicate with these local efforts.

Background

Envaya’s core belief is that the most effective and sustainable development efforts and solutions begin at the community level. 

Around the world, grassroots civil society organizations (CSOs) play a vital role in society by advocating for positive change, developing new approaches to poverty reduction, and running projects that range from leading HIV/AIDS education programs to planting trees.  Unfortunately, many CSOs lack access to information and communication technologies (ICTs) that would enable their efforts to have a greater impact. Most CSOs have no online presence and therefore have an extremely limited ability to raise funds, communicate with grantmakers, and share resources and ideas with other CSOs and communities.

What Envaya Does

Envaya provides a free, easy-to-use, lightweight, mobile-optimized and fully-translated software platform for CSOs to create and update their own websites.  On envaya.org, organizations with little computer experience can easily create websites to publish their latest news, photos, and documents, share their successes and challenges, and collaborate with other organizations and people around the world. Envaya's toolset includes an online reporting system that allows CSOs to submit structured reports and success stories to participating grantmakers, and publish their reports online.

By providing usable technology that is tailored for the needs of CSOs in developing countries, Envaya is increasing the capacity of the civil society sector to create systemic, positive change.

For more information about how Envaya's software is adapted for the needs of CSOs in developing countries, visit our Software page.

Tanzania Pilot Program

In May, 2010, Envaya launched its pilot program in Tanzania after several months of development with input from CSOs. More than 700 organizations have already created websites on envaya.org, with many actively adding content to their websites. (See example organizations using Envaya).  Envaya has been received enthusiastically in Tanzania and has already had a meaningful impact on civil society across the country.  The number of CSOs joining Envaya continues to grow based on word of mouth and thanks to the dedication of our partner organizations.  Envaya is now expanding to additional African countries.

Services for Development Agencies and Foundations

Envaya also develops custom software tools in collaboration with large NGOs, international development agencies, and foundations that serve CSOs. For more information, see the Advanced Services page.

Envaya's success in Tanzania has led to a partnership with the Foundation for Civil Society (FCS), one of the largest support NGOs for civil society in Tanzania, to deploy an online monitoring and reporting system for their grants to CSOs. In a landmark step for transparency in international development, Envaya's systems enable FCS to electronically track its grants to CSOs and transparently display results, data, and successes on the internet.

Future Plans

Envaya is continuously working to develop new and better software for grassroots civil society organizations, and develop partnerships with additional organizations and stakeholders in the civil society sector. 

In the near future, Envaya plans to expand to other countries in East Africa and elsewhere around the world. 

Who We Are

Envaya is a 501(c)(3) non-profit project that is fiscally sponsored and legally organized in the United States under the Trust for Conservation Innovation

Envaya inaumba na kueneza programu ya kompyuta ili kuyawezesha na kuyaunganisha mashirika ya jumuiya ya kiraia duniani.
 

Tunaumba vifaa vinavyoyaruhusu kujenga tovuti zao wenyewe, na kutoa vifaa kwa NGOs kubwa kusaidia bidii hizi za jamii.

Usuli

Duniani kote, mashirika mengi ya jumuiya ya kiraia yanafanya kazi kuboresha jamii zao. Yanatetea mabadiliko chanya, kuhimiza utawala bora, kuendeleza mbinu mpya ya kupunguza umaskini, na kuongoza miradi mbalimbali kutoka mipango ya elimu ya VVU/UKIMWI kwa kuendesha nyumba ya yatima kwa kupanda miti.

Kama teknolojia inaenea duniani kote, mashirika zaidi na zaidi yanataka tovuti zao wenyewe ili kuwasiliana vizuri na wengine duniani. Lakini kwa watu katika nchi zinazoendelea kama Tanzania, kuunda tovuti ni vigumu.

 

Je, Envaya ni nini?

Kama mradi wa kwanza, Envaya imeanzisha envaya.org, njia rahisi kuunda tovuti ambayo imesanifiwa kwa mahitaji ya mashirika ya jumuiya ya kiraia. Asasi zinaweza kujenga na kuhariri kwa urahisi tovuti zao juu ya envaya.org, kutoa sauti yao kwa intaneti ambapo zinaweza kuandika kuhusu miradi yao na kugawa rasilimali na mawazo na mashirika mengine na watu duniani kote.

 

Mpango ya kwanza Tanzania

Mei, 2010, Envaya ilianza mpango wake wa majaribio Tanzania, ambapo umekuwa kupokelewa kwa shauku. Teknolojia ya kuweza kutumika kwa asasi ya Tanzania imepungukiwa, na tovuti mpya ya Envaya imewahi kutoa tofauti ya maana kwa kuleta asasi za kiraia kwenye intaneti. (Angalia mashirika ya mfano yanayotumia Envaya)

Kwa sasa, Envaya inatumia maoni kutoka watumiaji wake wa awali ili kuboresha programu yake na kuendelea kuhamasisha mashirika kuchapisha kwenye intaneti.

 

Mipango ya baadaye

Envaya inaendelea kufanya kazi ili kukuza programu mpya na bora kwa mashirika ya jumuiya ya kiraia, na kuanzisha tovuti ni mwanzo tu.

Hivi karibuni, Envaya inapanga kuwezesha asasi kupanga upya tovuti zao kwa kutumia simu zao za mkononi. Watu wengi Tanzania hawawezi kutumia intaneti kwa urahisi, au wanahitaji kulipa kwa kutumia internet cafe, kwa hivyo ni vigumu kwa baadhi ya mashirika na kutumia tovuti. Namba ya SMS ya bure ingeweza kuruhusu watumiaji wa Envaya kuchapisha habari na picha kwa urahisi kwa kutumia simu yake ya mkononi.

Katika miezi ijayo, Envaya inapanga kuzindua mradi wa mfumo wa taarifa ya intaneti kwa kushirikiana na Foundation for Civil Society (FCS), moja la mashirika makubwa Tanzania ya kusaidia jamii. Mashirika yanayopata kuchangia kutoka FCS yataweza kuwasilisha taarifa za mradi kielektroniki na kuchapisha taarifa zao juu ya tovuti zao za Envaya. Kikamilifu kupatikana na inayoonekana kwa wageni wa nje, mfumo huu utaboresha uwazi katika maendeleo ya kimataifa.

Katika siku za hivi karibuni, tunapanga kueneza Envaya kwa nchi nyingine katika Afrika Mashariki na duniani.

 

Sisi ni nani

Envaya ni mradi bila faida 501(c)(3) ambayo inafadhiliwa kisheria Marekani chini ya Trust for Conservation Innovation. Inaongozwa na timu ndogo ya watu kutoka Marekani, Tanzania, na Canada.

Saidia Envaya kwa kuchangia katika intaneti leo!


Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe

Ibyasobanuwe

Google Translate
16 Mutarama, 2012
Envaya yanaendelea na deploys programu kwamba inatoa mamlaka na unajumuisha mashirika ya kiraia duniani kote. – Sisi kujenga zana online na simu kwamba kuruhusu mashirika ya chini kwa urahisi kuunda yao tovuti mwenyewe, na kutoa vifaa bora zaidi NGOs kubwa ya kusaidia na kuwasiliana na juhudi hizi za mitaa. – Background – (image) Envaya msingi wa imani yake ni kwamba ufanisi zaidi na maendeleo endelevu juhudi...
Ubu busobanuro bwakuwe mu nyandiko ya kera
Google Translate
26 Ukwakira, 2011
Envaya yanaendelea na deploys programu kwamba inatoa mamlaka na unajumuisha mashirika ya kiraia duniani kote. – Sisi kujenga zana online na simu kwamba kuruhusu mashirika ya chini kwa urahisi kuunda yao tovuti mwenyewe, na kutoa vifaa bora zaidi NGOs kubwa ya kusaidia na kuwasiliana na juhudi hizi za mitaa. – Background – (image) Envaya msingi wa imani yake ni kwamba ufanisi zaidi na maendeleo...
Ubu busobanuro bwakuwe mu nyandiko ya kera
Google Translate
25 Kanama, 2011
Envaya yanaendelea na deploys programu hiyo inatoa mamlaka na unajumuisha asasi za kiraia duniani kote. – Sisi kujenga zana online na simu ya kuruhusu mashirika ya chini kwa urahisi kuunda tovuti yao wenyewe, na kutoa kubwa NGOs vifaa bora zaidi kwa msaada na kuwasiliana na juhudi hizi za mitaa. – Background – (image) Envaya msingi wa imani yake ni kwamba ufanisi zaidi na endelevu ya maendeleo ya...
Ubu busobanuro bwakuwe mu nyandiko ya kera
Google Translate
29 Nyakanga, 2011
Envaya yanaendelea na deploys programu hiyo inatoa mamlaka na unajumuisha asasi za kiraia duniani kote. – Sisi kujenga zana online na simu ya kuruhusu mashirika ya chini kwa urahisi kuunda tovuti yao wenyewe, na kutoa kubwa NGOs vifaa bora zaidi kwa msaada na kuwasiliana na juhudi hizi za mitaa. – Background – (image) Envaya msingi wa imani yake ni kwamba ufanisi zaidi na endelevu ya maendeleo ya...
Ubu busobanuro bwakuwe mu nyandiko ya kera
Google Translate
21 Nyakanga, 2011
Envaya yanaendelea na deploys programu hiyo inatoa mamlaka na unajumuisha asasi za kiraia duniani kote. – Sisi kujenga zana online na simu ya kuruhusu mashirika ya chini kwa urahisi kuunda tovuti yao wenyewe, na kutoa kubwa NGOs vifaa bora zaidi kwa msaada na kuwasiliana na juhudi hizi za mitaa. – Background – (image) Envaya msingi wa imani yake ni kwamba ufanisi zaidi na endelevu ya maendeleo ya...
Ubu busobanuro bwakuwe mu nyandiko ya kera
youngj
23 Mata, 2011
Envaya inaumba na kueneza programu ya kompyuta ili kuyawezesha na kuyaunganisha mashirika ya jumuiya ya kiraia duniani. – Tunaumba vifaa vinavyoyaruhusu kujenga tovuti zao wenyewe, na kutoa vifaa kwa NGOs kubwa kusaidia bidii hizi za jamii. – Usuli – (image) Duniani kote,...
Ubu busobanuro bwakuwe mu nyandiko ya kera