Fungua

Tafsiri: Kiswahili (sw): Maandiko ya Watumiaji: WI00035F967454A000028032:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiingereza) Kiswahili

After your organization's website is approved by Envaya, anyone on the internet will be able to see your website without needing to register for Envaya. 

However, only you (and anyone else who knows your organization's Envaya username and password) can edit the pages on your website when you are "logged in" to Envaya.

By looking at any page's background color, you can tell whether a page is public or if it is only available when you are logged in. All pages with a dark gray background are only available when you are logged in.

When you first register for Envaya, you are automatically logged in to your new account on Envaya. Whenever you are logged in to Envaya, you will see a blue area with icons at the top-right corner of the page, as shown below:

Each of these icons are links that you can click on:

  •  is your organization's home page.
  •  is the Edit Site page, where you can publish news updates and photos and edit any page on your site.
  •  is your Envaya account settings page, where you can update your organization's contact information and other settings.
  •  logs out of your Envaya account.

The main place to edit your website is the Edit Site page. On this page, you can write a news update and edit any of the pages on your site. When you are logged in, you can always get to this page by clicking the   icon.

To learn how to do particular tasks on your website, select a section from the list below.

Baada ya tovuti ya asasi yako kukubaliwa na Envaya, mtu yeyote kwenye intaneti watakuwa na uwezo wa kuona tovuti yako bila kuhitaji kujiandikisha kwenye Envaya.

Hata hivyo, wewe tu, na mtu yeyote mwingine ambaye anajua jina la mtumiaji na neno la siri ya asasi yako, wanaweza kuhariri kurasa kwenye tovuti yako wakati ambapo wamefungua ("logged in") kwenye Envaya.

Kwa kuangalia rangi ya nyuma ("background") ya ukurasa wowote, unaweza kujua kama ukurasa unaonekana hadharani, au unapatikana wakati ambapo umefungua kwenye Envaya. Kurasa zote zenye rangi ya nyuma ya kijivu zinapatikana tu wakati ambapo umefungua kwenye Envaya.

Kila mara umefungua kwenye Envaya, eneo la rangi ya bluu lenye picha lipo juu kulia wa ukurasa, kama hapo chini:

Kila moja ya picha hizi ni viungo unavyoweza kubonyeza:

  • ni ukurasa Mkuu wa asasi yako.
  •  ni ukurasa wa Hariri Tovuti, ambapo unaweza kuchapisha taarifa za habari na picha na kuhariri kurasa zozote kwenye tovuti yako.
  • ni ukurasa wako wa mipangilio ya akaunti ya Envaya, ambapo unaweza kupanga upya data ya mawasiliano ya shirika lako, na mipangilio mingine.
  •  inaondoka ya akaunti yako Envaya.

Mahali kuu ya kuhariri tovuti yako ni ukurasa wa Hariri Tovuti. Katika ukurasa huu, unaweza kuandika taarifa ya habari na kuhariri kurasa zozote kwenye tovuti yako. Wakati ambapo umefungua Envaya, unaweza daima kwenda ukurasa huo kwa kubonyeza picha  .

Ili kujifunza jinsi ya kufanya kazi maalum kwenye tovuti yako, chagua sehemu kutoka kwenye orodha hapo chini.


Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe

Historia ya tafsiri

envayateam
8 Machi, 2012
Baada ya tovuti ya asasi yako kupitishwa na Envaya, mtu yeyote akiwa kwenye mtandao atakuwa na uwezo wa kuona tovuti yako bila kuhitaji kujiandikisha Envaya. – Hata hivyo, ni wewe tu (na mtu yeyote ambaye anajua jina la mtumiaji na neno la siri la asasi yako) mnaweza kuhariri ukurasa kwenye tovuti yenu kama umeingia kwenye tovuti ya Envaya. – Kwa kuangalia rangi ya ukurasa, unaweza kujua kama ukurasa unaonekana na kila mmoja au unaweza kuona wewe mwenyewe tu...
envayateam
8 Machi, 2012
Baada ya tovuti ya asasi yako kupitishwa na Envaya, mtu yeyote kwenye mtandao itakuwa na uwezo wa kuona tovuti yako bila kuhitaji kujiandikisha Envaya. – Hata hivyo, ni wewe tu (na mtu yeyote ambaye anajua jina la mtumiaji na neno la siri la asasi lako) unayeweza kuhariri ukurasa kwenye tovuti yako. – Kwa kuangalia rangi ya ukurasa, unaweza kujua kama ukurasa unapatikana kwenye mtandao au la. Ukurasa zenye rangi ya kijivu zinapatikana tu wakati...
Google Translate
21 Novemba, 2011
Baada ya tovuti ya asasi yako ni kupitishwa na Envaya, mtu yeyote kwenye mtandao itakuwa na uwezo wa kuona tovuti yako bila kuhitaji kujiandikisha kwa ajili ya Envaya. – Hata hivyo, wewe tu (na mtu yeyote ambaye anajua asasi yako Envaya username na password) inaweza kuhariri kurasa kwenye tovuti yako wakati wewe ni "watumiaji katika" kwa Envaya. – Kwa kuangalia background rangi yoyote ukurasa wa, unaweza kujua kama ukurasa ni wa umma au kama inapatikana tu wakati...
youngj
25 Julai, 2011
Baada ya tovuti ya asasi yako kukubaliwa na Envaya, mtu yeyote kwenye intaneti watakuwa na uwezo wa kuona tovuti yako bila kuhitaji kujiandikisha kwenye Envaya. – Hata hivyo, wewe tu, na mtu yeyote mwingine ambaye anajua jina la mtumiaji na neno la siri ya asasi yako, wanaweza kuhariri kurasa kwenye tovuti yako wakati ambapo wamefungua ("logged in") kwenye Envaya. – Kwa kuangalia rangi ya nyuma ("background") ya ukurasa wowote, unaweza kujua kama ukurasa unaonekana...
This translation refers to an older version of the source text.
youngj
25 Julai, 2011
Baada ya tovuti ya asasi yako kukubaliwa na Envaya, mtu yeyote kwenye intaneti watakuwa na uwezo wa kuona tovuti yako bila kuhitaji kujiandikisha kwenye Envaya. – Hata hivyo, wewe tu, na mtu yeyote mwingine ambaye anajua jina la mtumiaji na neno la siri ya asasi yako, wanaweza kuhariri kurasa kwenye tovuti yako wakati ambapo wamefungua ("logged in") kwenye Envaya. – Kwa kuangalia rangi ya nyuma ("background") ya ukurasa wowote, unaweza kujua kama ukurasa unaonekana...
This translation refers to an older version of the source text.
Google Translate
19 Julai, 2011
Baada ya tovuti ya asasi yako ni kupitishwa na Envaya, mtu yeyote kwenye mtandao watakuwa na uwezo wa kuona tovuti yako bila kuhitaji kujiandikisha kwa ajili ya Envaya. – Hata hivyo, tu wewe (na mtu mwingine yeyote ambaye anajua asasi yako Envaya username na password) inaweza kuhariri kurasa kwenye tovuti yako wakati wewe ni "logged in" kwa Envaya. – Kwa kuangalia background rangi yoyote ukurasa, unaweza kujua kama ukurasa wa umma au kama inapatikana tu...
This translation refers to an older version of the source text.