Fungua

Tafsiri: Kiswahili (sw): Maandiko ya Watumiaji: WI0002FCBA1D6E9000065730:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili
MBY.jpg
Hizi ni ofisi za chama cha wandishi wa Habari mkoani Mbeya  ambapo mkuu wa mkoa ametembelea hivi majuzi!

MEYA.jpg
Meya wa Jiji la Mbeya Mstahiki Athanas Kapunga akizungumza neno kwenye ofisi za chama cha wandishi wa habari mkoa Mbeya

KANDORO2.jpg
Mkuu wa mkoa Mbeya Abbas Kandoro akiwa amepozi na viongozi wa klabu ya wandishi wa habari Mkoani Mbeya

KANDORO.jpg


MWENYEKITI.jpg
Mwenyekiti wa Klabu ya wandishi wa habari Mkoa wa Mbeya Christopher Nyenyembe akizungumza jambo mbele ya mgeni wao.

AKISAINI.jpg
Mkuu wa mkoa Kandoro akisaini kitabu cha wageni

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe