Base (Swahili) | Kiswahili |
---|---|
Je ungependa kujifunza jinsi ya kupata samaki wazuri wasio na sumu pia rahisi na kwa gharama kidogo sana kuwafuga?basi usisite kutuuliza maswali au kututembelea kwa kuangalia mawasiliano yetu na pia tunashughulika na ufugaji wa aina mbalimbali kama kuku wa kienyeji kufugwa katika maeneo madogo lakini wengi na wazuri na pia wanaoweza kufikia hata kilo nane kwa muda mfupi?tuulize |
(Not translated) |