Envaya

Ubusobanuro: Kiswahili (sw): User Content: WI000033F93F619000020547:content

Base (Igiswayire) Kiswahili
OLAI ni Asasi ya kiraia iliyoanzishwa mwaka 2010 na kupata usajili katika wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia na watoto mwaka 2011. Ofisi za makao makuu zipo kijiji cha Sokoine, kata ya Chaume, Wilaya ya Tandahimba, Mkoa wa Mtwara Tanzania.
Kuiwezesha jamii ya wakulima wadogo na wa kati wa Tandahimba na Tanzania, kutambua fursa mbalimbali kwa kuzitumia na kushiriki kwa ufanisi ili iwawezeshe kuyaboresha maisha yao.

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe

Ibyasobanuwe

OLAI
27 Nyakanga, 2016
Kuiwezesha jamii ya wakulima wadogo na wa kati wa Tandahimba na Tanzania, kutambua fursa mbalimbali kwa kuzitumia na kushiriki kwa ufanisi ili iwawezeshe kuyaboresha maisha yao.
OLAI
19 Ukwakira, 2013
Kuiwezesha jamii ya wakulima wadogo na wa kati wa Tandahimba na Tanzania, kutambua fursa mbalimbali na kuzitumia na kushiriki kwa ufanisi ili iwawezeshe kuyaboresha maisha yao.
Ubu busobanuro bwakuwe mu nyandiko ya kera
OLAI
19 Ukwakira, 2013
Kuishawishi serikali kutoa kipaumbele na kutenga bajeti inayokidhi mahitaji ya sera ya kilimo
Ubu busobanuro bwakuwe mu nyandiko ya kera