Ijambo | Base | Kiswahili | Ibyasubijwe | Igihe gishyizweho |
---|---|---|---|---|
todo:news | Tubwire amakuru yawe aherutse | Tunahitaji kufanya na wataalam waliosomea mambo ya Kilimo na mifugo katika mradi wetu wa Q. Coffee production hapa wilayani karagwe | A link for organizations to add a news update. | 11 Gicurasi, 2011 by youngj |
todo:team | Shyiraho abo mufatanije | CSM lina waratibu wakuu wapatao 6.Karagwe kuna MR&Mrs Jonathan Mulokozi, jackson kamkoto,H.Ng'oma, na Huko Arusha, Kuna, Rev, Viany kamili, na Rev, Peter paul, n | A link for organizations to edit their Team page. | 11 Gicurasi, 2011 by youngj |
todo:home | Kora urupapuro rwawe rw'itangiriro | Umba ukurasa mkuu | A link for organizations to edit their Home page. | 11 Gicurasi, 2011 by youngj |
todo:projects | Sobanura imishinga yawe | CSM ni NGO ambayo ina mradi mkubwa wa uzalishaji na uboleshaji wa zao la Kahawa hususani aina ya Arabica, na Tuna malengo ya Kuanzisha Kituo kikubwa cha watoto yatima.CSM lina mkakati wa kutoa elimu kwa wajasilia mali, na Usindikaji wa mazao yatokanayo na Kilimo.CSM limeanzisha mradi wa ufugaji samaki katika kijiji cha Kishojo, Wilayani karagwe,kagera tanzania kwa kushirikana na Halmashauri ya wilaya ya karagwe. CSM tangu mwaka 2002 tulianza kutoa elimu, na Vitendea kazi kwa taaluma ya Ufundi... | A link for organizations to edit their Projects page. | 11 Gicurasi, 2011 by youngj |
todo:history | Andika ku mateka yawe | CSM ilizaliwa mwaka katika Wilaya ya karagwe mkoani kagera,Tanzania mnamo mwaka 2002, na kusajiliwa rasmi mwaka 2010.CSM lilianzishwa na MR&Mrs Jonathan Mulokozi, ambao wito wao mkubwa ulikuwa ni kuwasaidia watu wasiojiweza ktk nyanja mbalimbali. | A link for organizations to edit their History page. | 11 Gicurasi, 2011 by youngj |
todo:done | Byarangiye | Mafunzo kwa wakulima wa kahawa, Vocation training skills,Usambazaji wa Miche ya kahawa-Arabica,usambazaji wa Ng'ombe wa Maziwa,na Bwawa la Samaki, | The heading for the list of tasks that an organization has already completed. | 11 Gicurasi, 2011 by youngj |
todo:todo | Ibyo gukora | Kufanya | The heading for the list of tasks that an organization has not yet completed. | 11 Gicurasi, 2011 by youngj |
todo:about | Haracyari byinshi byo gukora. kanda kuri iyo nzira yo hasi kugira ngo uvugurure urubuga rwawe | Bado kuna zaidi ya kufanya! Bonyeza viungo vya chini kuboresha tovuti yako: | The message displayed to logged-in organizations who have registered for Envaya but still have suggested tasks to improve their website. | 11 Gicurasi, 2011 by youngj |
share:disclaimer_2 | Niba utakifuza kubona ubu butumwa bwa emails, usabwe kumwandikira {name}. | kama hutaki kupokea email kama hizi, tafadhali wasiliana na {name} | Part of the text in the footer of the email sent by the 'share by email' page, as a disclaimer so people complain to the sender rather than Envaya if the share function is abused.
{name} is a placeholder for the name of the organization or user who sent the email. | 11 Gicurasi, 2011 by youngj |
share:disclaimer | Woherejwe ubu butumwa kubera ko {name} yakohereje akoresha Envaya. | umepata email hii kwasababu {name} kakutumia kwa kutumia Envaya | {name} is a placeholder for the name of the user or organization, e.g. "Barack Obama" or "Community Forests Pemba" | 11 Gicurasi, 2011 by youngj |