Base (Swahili) | Kinyarwanda |
---|---|
Kwanza tunatoashukrani za dhati kwenu Envaya kwa kutusaidia ukurasa huu. Shirika letu la TUNAWEZA WOMEN GROUP tunahitaji mwalimu wa michezo tunao vijana ambao wana hitaji mwalimu wa kuwafundisha nakuwasimamia katika mchezo wa mpira wa miguu,tunahitaji pia mwalimu wa kufundisha ushonaji kwani tunao wasichana wanaojifunza ufundi wa kushona nguo,Tunaomba piamtaalamu wa kuandaa na kutoa semina kwa jamii, mtaalam na mshauri wa mambo ya ukimwi tunahitaji pia mtaalam na muandishi wa madokezo ya miradi. Asante kwa ushirikiano kwa mawasiliano A.Mtambalike simu 0784 399400/0655 399400 |
(Not translated) |