Log in

Translations: Kinyarwanda (rw): User Content

BaseKinyarwanda
Wajasiliamali Disabled Group wanatafta ardhi kwa ajili ya kilimo mkoani Pwani.(Not translated)Edit
kupanua wigo wa marafiki nje ya nchi kama maraiki hawa wa Rwanda.(Not translated)Edit
Zaidi katika kutatua changamoto zinazowakumba vijana kwenye jamii yetu ya kitanzania(Not translated)Edit
Hakika kuikomboa jamii unayotoka ni uungwana ambao mwenyezi Mungu atakulipa.(Not translated)Edit
Ni shirika ambalo lipo tayari kusaidia jamii kuanzisha vikundi ambavyo ni Endelevu na vyenye mafanikio yanayonekana.(Not translated)Edit
Kwa mwerekeo walionao ni mzuri katika kuikomboa jamii ya wana shinyanga nimependa walivyo.(Not translated)Edit
Kikundi hiki kimeanzishwa leo tarehe 6/2/2015 hapa GOLD CREST HOTEL, Baada ya wanakikundi kutafakari juu ya namna bora ya kuboresha hali zao za kimaisha na kuona kuwa kuna haja ya kuanzisha kikundi chenye malengo ya kujikwamua na maadui wakuu watatu yaani umasikini,maradhi na ujinga katika kujiletea maendeleo ya kweli kwa jamii yetu ya kitanzania bila kujali jinsia, kabila, dini, ulemavu na hata rangi. Baada Kikundi kuanzishwa...(Not translated)Edit
VIONGOZI WA KIKUNDI NA KAMA IFUATAVYO. – MICHAEL CHARLES- MWENYEKITI MKUU. – GRACE MASELE- KATIBU MKUU. – FOCUS HIGHEST- MHAZINI MKUU. – NA KAMATI MBALIMBALI.(Not translated)Edit
(image) – mwenyekiti mkuu wa kikundi cha New vision Group.(Not translated)Edit
(image) – Tuwaulize kwanza mahitaji yao ,Ndipo tuwasaidie by Michael Charles. mwenyekiti wa kikundi.(Not translated)Edit
(image) – Kuwasaidia hawa kufikia ndoto zao ni wajibu wetu NVG.(Not translated)Edit
(image) – Bila maono ni sawa na kukesha ukimuomba Mungu akuepushe na malaria baada ya kuchoma chandurua.(Not translated)Edit
Kila binadamu ameumbwa akiwa na uwezo wa kuwa na mafanikio, Jambo ambalo linawatofautisha watu walio fanikiwa na masikini ni uwezo wa kuamua na kuchagua, kwanini nimesema hivyo maisha yetu hakika na ule uwezo wa kuchagua na kuamua unataka kuwa na mafanikiao au la ... mfano yule aliyeamua kuwa na mafanikio na yule aliyeamua kutokuwa na mafanikio wote wako sawa kwa maamuzi yao hayo na kila mmoja atapata Heshima juu ya uamuzi wake alioamua.(Not translated)Edit
(image) Hii ndio ndoto kubwa kwa kila mmoja wetu anayetaka kuwa na mafanikio. Na usianze kujiuliza maswali ya watu walioshindwa maisha. kwa mfano wao hujiuliza maswali kama 1.ningwekeza lakini sina fedha za kutosha. – 2. wakuwekeza niwe mimi mhuu haujawaona wakuwekeza ni kina Mengi n.k – 3. siku nikiajiliwa nitawekeza ..... – 4. ukiwekeza utapata hasara .......(Not translated)Edit
Shukrani kwa maelezo mazuri kaka Massapa. Tusaidiane kuyaeneza na kuyaendeleza mambo haya. Karibu sana kwenye jukwaa hili(Not translated)Edit