Log in

Translations: Kinyarwanda (rw): User Content: CMawj7UECA3i4s8TbiaLEmph:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) Kinyarwanda
Tunashukuru sana Envaya kwa kazi yenu kubwa tunatamani kuibadilisha Tanzania ika mahali pa kupendeza na kuheshimika. Tanzania yetu imetokea kuwa sehemu ya kulaumiwa tunaamini jamii kwa kupitia NGO tuna uwezo wa kuibadilisha. Envaya team tunaomba kujua namna ya kwenda kusajili NGO zetu ili kufahamika zaidi na kuwa na uwezo wa kutekeleza malengo yetu. Mungu ibariki TANZANIA, Mungu bariki NGO's
(Not translated)

In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register