Asili (Kiswahili) | Kinyarwanda |
---|---|
Moani yangu ni kuwa ni vizuri kupata watu wanopenda kujitolea kwa faida ya maendeleo ya jamii hasa bara la Afrika. Lakini ikumbukwe hata kama kuna kujitolea lazima kuwepo na uwezeshwaji walao anaejitolea apate chakula au malazi wakati wa kufanya kazi nasi. sisi tupo tayari kupata watu watakaojitolea kwetu katika sharika la SWAA kwa nyanja zote zikiwepo shaeria, elimu, mazingira, Afya, na utamaduni. Pia tunatafuta mtaalamu msomi katika kutuwezesha kutuandikia miradi ili shirika letu liweze kufanya kazi kwa muda wote. Mwenyekiti SWAA. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe