Charles Chama kitakacho leta mabadiliko Tanzania ni Katiba mpya tu ambayo itatetea jasho la Watanzania Lkn ninawasihi wale wote amba ni viongozi kuacha kujilundikia mali watalaaniwa unajua jana nilikuwa nafanya home visit ambayo ni kawaida yangu kila wiki kufanya hivyo nilikuta Familia moja haijala na hawana mpango wa kupata chakula ni saa tisa jioni angalia hali ilivyo mbaya. Kaka ujumbe wangu tumuogope Mungu tuache ubinafsi. | (Bila tafsiri) | Hariri |