JASHO LA MTANZANIA
Charles kiwesi (Dar es salaam)7 Juni, 2012 20:57 EAT
Jasho la mtanzania limeendelea kuvuja bila mafanikio yoyote viongozi ambao nao ni wtz wameendelea kuchuja na kulimwaga ndan ya matumbo yao bila huruma utu wala uchungu kwa wanzao yote haya yanafanywa kwa makusudi pamoja na hila zilizo ndan ya mioyo yao jamani nchi yenye matatizo katika kusimamia mali zake kama hii bado tena tunaongeza mzigo kwa kuongeza watu wengne wakusimamia wakati hata wale waliopo bado ni mzigo kwa watz kiufupi tuna mawaziri zaidi ya 55 ambao wanatumia kodi zetu katika maisha yao ya kila siku jamani hao wote ni halali kwel kwa nchi kama hii ya kwetu kuwa na mzigo mkubwa kama huo jamani majibu yote yatakua kama mimi niwazavyo hapo bado manaibu wazr makatibu wakuu wakurugenzi wakuu wa mikoa wilaya na makatbu tawala wao jaman wote hawa wana mavx na majumba yenye kila kitu kinachotaka kwenye kodi zetu kuna zaid ya magari ya kifahari yenye thamani ya trilion 2.2 hayo nimagar tu ambayo yanatumia mafuta ya bil1.5 kwa wiki je?kwa gharama hizo tutaweza kuendeleza nchi kweli?
Nvrf tanzania (via email)13 Juni, 2012 09:52 EAT
Charles Chama kitakacho leta mabadiliko Tanzania ni Katiba mpya tu ambayo itatetea jasho la Watanzania Lkn ninawasihi wale wote amba ni viongozi kuacha kujilundikia mali watalaaniwa unajua jana nilikuwa nafanya home visit ambayo ni kawaida yangu kila wiki kufanya hivyo nilikuta Familia moja haijala na hawana mpango wa kupata chakula ni saa tisa jioni angalia hali ilivyo mbaya. Kaka ujumbe wangu tumuogope Mungu tuache ubinafsi.