Kuelimisha jamii juu ya kujikinga na maabukizi mapya ya virusi vya UKIMWI,kuanzisha kituo cha uchunguzi wa magonjwa yatokanayo na kujamiana Mradi ulifadhiliwa na TACOSODE Kupitia ruzuku ya NACP kwa kiasi cha fedha za Kitanzania shilingi Milioni Nne na Laki sita Mwaka 2006.Mradi wa utawala bora kwa viongozi wa Azaki na Serikali za vijiji katika Tarafa tatu za Kitangali , Chilangala na... | (Bila tafsiri) | Hariri |