Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Kuelimisha jamii juu ya kujikinga na maabukizi mapya ya virusi vya UKIMWI,kuanzisha kituo cha uchunguzi wa magonjwa yatokanayo na kujamiana Mradi ulifadhiliwa na TACOSODE Kupitia ruzuku ya NACP kwa kiasi cha fedha za Kitanzania shilingi Milioni Nne na Laki sita Mwaka 2006.Mradi wa utawala bora kwa viongozi wa Azaki na Serikali za vijiji katika Tarafa tatu za Kitangali , Chilangala na Newala ulifadhiliwa na The Foundation for Civil Society Kwa jumla ya Shilingi milioni 5 Mwaka 2006 . Mradi wa youth Balozi kwa ajili ya kuelimisha vijana waliopo mashuleni na nje ya Shule namna ya kujikinga na maabukizo mapya ya VVU/UKIMWI Ulitekelezwa katka kata Tatu za Mcholi I, Mnyambe na Mtopwa kwa ufadhili wa RFA Mtwara/Lindi kwa kiasi cha Fedha za Kitanzania shilingi milioni Sita na Laki nane mwaka 2O07/2008. Na Mradi wa kujenga uwezo kwa viongozi na wanachama wa Asasi ya Kuchele iliyofadhiliwa na FOUNDATION Kwa kiasi cha milioni 5 Mwaka 2010. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe