About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/mta_mz/history
: English
Base
English
Hapa Tanzania, miaka ya nyuma, kabla ya mwaka 2003 huduma ya Usafirishaji ilikuwa inasimamiwa na Mamlaka ya Leseni Tanzania. Mamlaka hii, kwa kipindi chote ofisi zake zilikuwa ndani ya majengo ya serikali, kwa wakuu wa Mikoa. Hivyo, kila mkoa ulipewa himaya ilio sawa na eneo la utawala wanao miliki kiutawala wakati huo na kujulikana hivyo. Kwa hapa Mwanza, kulijulikana kisheria kama MWANZA REGION TRANSPORTATION LICENCING AUTHOURITY - MRTLA. Mamlaka ya mkoa ilikuwa na majukumua ya kutoa...
In Tanzania, years back, before 2003 the service was managed by Transport Licensing Authority of Tanzania. This authority, for the whole period of his office were in government buildings, with the governor. Thus, each province was given the same authority Empire area who hold administrative rule at the time and known it. For here, Mwanza, was known legally as the first region LICENCING AUTHOURITY TRANSPORTATION - MRTLA. Regional authorities had majukumua the licensing of transport within...
Edit