Base (Swahili) | English |
---|---|
Rais wa Zanzibar na Mwenyekitiwa Baraza la Mapinduzi Mhe.Ali Mohamed Shein alipokea maelezo kutoka kwa Muhasibu wa Aaasi ya Muwape alipotembelea kenye Ofisi ya Muwape kwa uzinduzi wa Mpango wa uanzishaji wa Benki ya Jamii ya Pemba wakatikati ni Mwenyekiti wa Asasi ya Muwape. |
(Not translated) |