About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/muwape/news
: English
Base
English
(image) – Rais wa Zanzibar na Mwenyekitiwa Baraza la Mapinduzi Mhe.Ali Mohamed Shein alipokea maelezo kutoka kwa Muhasibu wa Aaasi ya Muwape alipotembelea kenye Ofisi ya Muwape kwa uzinduzi wa Mpango wa uanzishaji wa Benki ya Jamii ya Pemba wakatikati ni Mwenyekiti wa Asasi ya Muwape.
(Not translated)
Edit
Asasi ya Muwape inatoa huduma za Mikopo kwa wajasiriamali wadogo wadogo katika maeneo ya Kilimo,Uvuvi,Ufugaji ,Biasha na Viwanda viddogo vidogo. – Inahitaji kufanya kazi na mashirika mengine ya tasisi za fedha ya ndani na nje.pia unahitaji kufanya mashirikiano ya aina mbali mbali na mashirika mengine katika nyanja za biashara.
(Not translated)
Edit
(image) – Mhe.Shein akikaguzwa kwenye Ofisi kabla hajaanza shughuli ya uzinduzi wa Mpango wa Benki ya Jamii ya Pemba.
(Not translated)
Edit