Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/jida/post/5
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
JIKWAMUE DEVELOPMENT ASSOCIATION-JIDA YAJIKWAMUA – Asasi hii inastahili pongezi kubwa kwa mafanikio iliyoyapata tokea kuanzishwa kwake hadi mwaka 2014. – Mwaka 2013,JIDA,imefanikiwa kuandaa Mradi wa Mafunzo ya Ufuatiliaji wa Matumizi ya fedha za Umma za Sekta ya Elimu katika Kata 6 za Halmashauri ya Wilaya Morogoro Vijijini ambazo ni Mtombozi,Kisemu,Tawa,Konde,Mvuha na Selembala, – Mafunzo ambayo yaliwashirikisha Wanufaika 90,katika maana ya kwamba kila Kata iliwakilishwa na...
(Not translated)
Hindura
JIKWAMUE DEVELOPMENT ASSOCIATION-JIDA – jikwamue development Association ni Asasi ya Kiraia isiyotengeneza faida. – Asasi hii imeanzishwa mwaka 2010,na imepata Usajili tarehe 04/02/2011.chini ya sheria ya uanzishwaji wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Act 24/2002. – MAKAO MAKUU – Ofisi za Asasi hii zipo katika Kijiji cha Tambuu,Kata ya Lundi,Tarafa ya Matombo,Wilaya ya Morogoro Vijijini Mkoa wa Morogoro Tanzania. – JIKWAMUE...
(Not translated)
Hindura