Kuwajengea uwezo jumuia wanachama iliziweze kufanya ushawishi na utetezi wa masuala ya jamii, kuanzisha na kuendeleza maktaba za jamii zanzibar, kuelimisha jamii kuhusu masuala ya jinsia, kujilinda na ukimwi na kuhifadhi mazingira kwa kupitia semina, warsha na mikutano ya kijamii. | Capacity building to community members iliziweze advocacy of social issues, establish and maintain a library of zanzibar community, educate the community about gender issues, HIV / AIDS and to protect and conserve the environment through seminars, workshops and social gatherings. | Edit |