Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Kuwajengea uwezo jumuia wanachama iliziweze kufanya ushawishi na utetezi wa masuala ya jamii, kuanzisha na kuendeleza maktaba za jamii zanzibar, kuelimisha jamii kuhusu masuala ya jinsia, kujilinda na ukimwi na kuhifadhi mazingira kwa kupitia semina, warsha na mikutano ya kijamii. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe