Base ((unknown language)) | English |
---|---|
Vipodozi salama vya asili vinaweza kumfanya mtu kuwa mrembo na kuvutia bila kujihatarisha kiafya. Ni busara kuepuka vipodozi vyenye kemikali na sumu zinazoweza kusababisha kansa, kuharibika kwa figo/ini, ugumba, kuota ndevu kwa wanawake pamoja na matatizo ya afya ya akili (msongo) |
(Not translated) |