Fungua

/manshep/post/6: Kiswahili

AsiliKiswahili
Vipodozi salama vya asili vinaweza kumfanya mtu kuwa mrembo na kuvutia bila kujihatarisha kiafya. Ni busara kuepuka vipodozi vyenye kemikali na sumu zinazoweza kusababisha kansa, kuharibika kwa figo/ini, ugumba, kuota ndevu kwa wanawake pamoja na matatizo ya afya ya akili (msongo) – (image)(Bila tafsiri)Hariri